BANGI NOMA!!

Masela wawili wakiwa chini ya mwembe walivuta bangi mpaka ikawaingia kabisa baada ya muda si wakasikia njaa wakashauriana watungue maembe juu ya mti,maongezi yao yalikuwa hivi;
Msela 1;msela kabla hatujatungua tutajuaje kama yameiva
Msela 2;ngoja nipande nikacheq kama yameiva.
Msela akapanda mpaka juu ya mti akabonyeza embe moja akakuta limeiva akashuka mpaka chini akamwambia mwenzake,"msela limeiva haya tulitungue!" kwel bang noma!

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...