PAPA BENEDICT

Cku 1 Papa Benedict XVI alikuwa anataka kwenda shopping akamwita dereva wake na kumwambia leo ntaendesha mimi wwe utakaa pemben....Walipokuwa barabarani traffic akawasimamisha na alipoona Papa ndo anaendesha gari akakimbia kwnda kumwita mkuu wke... Nae alipofika kuona vile akakimbia!! yule traffic mdogo akamuliza mkubwa vp?... Mkubwa akajibu kama PAPA anaendesha gari basi yule wa pembeni kama sio YESU basi MUNGU....

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...