BWANA AFYA NA NYUKI

Afisa mmoja kaenda kwenye shamba la miti kukagua, msimamizi akamwambia," Usiingie sasa hivi." Afisa akatoa kitambulisho cha kazi akamwambia ''We nani wa kunizuia? Unaona kitambulisho?" Jamaa akamwambia pitaa we mtu mzito bwana. Kupita tuu akaanza kupiga makelele ''Nyukii nakufaaaa, nyuki nisaidie'' Jamaa akamwambia, "Waonyeshe kitambulisho."

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...