DOZI YA KIJANA.
Familia moja walimpekeka mtoto wao marekani kusoma,yule kijana
alipomaliza shule kwa bahati akapata kazi kule kwa hiyo akaendelea kuishi
kule kwamiaka mingi akiwa anaongea na wazazi wake katika simu tu. Jamaa
akaomba likizo aje kuwaona wazazi wake. Alipokubaliwa akawa anapita
madukani kutafuta zawadi zakuwaletea wazazi wake. Katika pitapita madukani
akakuta dawa yakupunguza uzee. Jamaa akaona bora awanunulie wazazi wake
ambao walishaanza kuzeeka.kwa bahati kunamtanzania alikua anarudi huku
siku ya pili, yule jamaa akaamua ampe ile dawa atangulie nayo ili
atapofika awakute wamebadilika. Siku ikafika yule jamaa akasafiri kuja
tanzania. Alipofika uwanja wandege akategemea mapokezi yanguvu. Lakini
jamaa hakuwaona wazazi wake. Akawa anaangaza huku nahuko bila kuwaona.
Pembeni akamwona binti anambadilisha mtoto nepi. Akamwambi"binti
hujambo?" Binti akajibu. Jamaa akamwambia hujawaona wazee wawili maeneo
haya? Yule binti akamwuliza kwani weunawatafuta wakinanani? Kijana
akamwambia wazazi wangu mr na mrs fulani. Yule binti akahamaki "jamani
mwanangu waoooo" yule jamaa akamwambia binti umechanganyikiwa? Yule binti
akamjibu hapana mimi mama yako. Ile dawa uliotuletea tulipotumia tukawa
vijana ila baba yako kazidisha dozi ndoi huyu karudi utoto nilikua
nambadili nepi kajisaidia" jamaa akapigwa namshangao akazimia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here::