Jamaa kaingia shopu, kanunua sigara, kaiwasha akaanza kuikwesa(kuivuta) pale pale. Shopukipa kumuona akapaniki akamfuata; Oyaa, samahani, haturuhusu watu kuvuta fegi hapa. Jamaa akamjibu: hii kitu si nimenunua hapa hapa, wewe si ndo umeniuzia?! Shopukipa akamjibu: Sawa, lakini hata kondomu huwa nakuuziaga we bwege, kwani huwa unaanzia zile fujo zake hapa hapa?!

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...