Jamaa mmoja alimtembelea rafiki yake aishie Ulaya aliyekuwa ameteguka miguu yote na hawezi kutembea.
Baada ya stori ndefu yule jamaa aliyeteguka miguu alisikia baridi miguuni na kumwomba yule rafiki yake aende kumchukulia viatu vyake chumbani.Yule jamaa alikubali kwenda kumchukulia rafiki yake vile viatu lakini alipokuwa akipandisha ngazi alikuta mlango mmoja uko wazi,kuchungulia akawakuta wasichana wawili wazungu ambao ni watoto wa yule rafiki yake.Basi jamaa akaanza mavocal yake sikia hii............
Jamaa:" Hi, ladies! Your daddy sent me here to have s_x with you!"
Wasichana:NO, that can't be!
Jamaa: OK, let's check!.....akapiga kelele kwa rafiki yake aliyepo chini akimuuliza "Both of them?"
Rafiki: "Yes, both of them!"
Duh! hii nayo vipi? comment..
No comments:
Post a Comment
Comment here::