JAMANAI 2WE 2NAULIZA KABLA YA KUPOKEA
Jamaa mmoja katika mishemishe zake akashikwa na kiu cha maji. Akagonga
nyumba moja ili aombe maji. Mara akatoka mtoto akamletea maziwa. Baada
ya kunywa akasema aongezwe mtoto. Akamuongeza jamaa akasema mbona
mnayatoa kwa wingi. Dogo akajibu kwa sababu yameingia panya ,humo ndani
hawayataki. Mchizi akabaki na butwa na glasi akaiangusha chini. Dogo
akapiga kelele na kumuita mama. Mama Glac ya bibi ya kutemea mate
kaivunja!!!
No comments:
Post a Comment
Comment here::