MASANJA MWANAWANE!

Gelofrendi: Nisamehe mpenzi wangu, nimekosa uaminifu.
Boifurendi: Khaa, wewe ulizani nakupenda? Hata mimi nilikuwa natoka nje, so kama vipi chapa zako mwendo, ninao wa kutosha, demu utakuwa wewe bhana?!
Gelofurendi: Wati? Mimi namaanisha kwenye mitihani! Nilipiga chabo! Kuuumbe!

Funzo: Usitie neno kabla mtu hajamaliza habari kamili mwanawane!

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...