Mchungaji flani baada ya kumaliza sala akawambia waumini wafumbe macho
ili waombe. Walipofumba macho wote mchungaji akaingiza mkono kwenye
sanduku la sadaka na kuiba pesa....ile anatoa tu mkono akakutana uso kwa
uso na mzee aliyekuwa anaingia kanisani. Mchungaji akasema:
"Amebarikiwa mtu yule anayeshuhudia kwa macho yake yale wafanyayo
wanadamu lakini akabaki kimya asinene lolote aliloona mbele za watu."
Mzee akamalizia: "Kwa sababu anajua fika atapata malipo yake baada ya ibada, na kama utata utatokea basi atakisanua!"
No comments:
Post a Comment
Comment here::