MLEVI NA MBATIZAJI

Mlevi alikuwa anapita karibu na mto kulikokuwa na watu wanabatizwa.Muhubiri alipomuona akamuingiza mlevi kwenye maji na kumzamisha.Alipomtoa mara ya kwanza akamuuliza'' Umemuona Yesu?.Mlevi akasema hapana! Akamzamisha mara ya pili,, alipomtoa akamuuliza tena je, sasa umempata Yesu?? Mlevi akasema hapana!! Akamzamisha mara ya tatu, alipomtoa akamuuliza'' Je sasa? Mlevi akasema hapana!! Kisha mlevi akamuuliza Muhubiri'' Uko shua kweli aliangukia hapa au unazingua?

No comments:

Post a Comment

Comment here::