MPISHI WA UGALI
HII IMETOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI.
Kuna
jamaa flani homu kwake yeye ndo alikuwa mtaalamu wa kupika ugali, basi
dei moja wakapata wageni, wageni wakasema wanaomba wasongewe ugali
mwanawani. Waifu akazama jikoni kuchemsha maji, alipomaliza akamuita
jamaa: Baba watoto maji tayari. Jamaa kuona hivyo akaona wageni
watamchukulia mume bwege anaenda kusonga ugali. Unajua alisemaje
mwanawani? : Yapeleke bafuni mke wangu.
No comments:
Post a Comment
Comment here::