Mwanamke fulani alikuwa analalamika kwamba ch*pi zake 3 zimepotea.
Lakini kutokana na hali ilivyokuwa alianza kumshutumu hausi geli wake kwamba yeye ndiye aliyeziiba hizo ch*pi mbele ya mume wake .Dah! yule hausigeli si ndio kukanusha (kukataa) akaropoka kitu akimwambia yule mume wa bosi wake Eti "Sir wewe ni shaidi yangu unajua fika kwamba mimi zivaagi ch_pi".
Dah! yule mama kusikia vile si akazimia palepale!! Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Comment ......
No comments:
Post a Comment
Comment here::