Ni tamasha kubwa litakalo konga mioyo ya watu wengi chini ya uongozi wa Mchungaji Andrew Palau.Watakao kuwepo katika tamasha hilo ni Christina Shusho,Don moen ,Nicole Mullen ,The voice,Duggie Dug Dug,John Lisu na wengineo wengi pamoja na michezo mbali mbali kama vile mchezo wa pikipiki(Motorcross demo) na mingineyo mingi! na pamoja na ushuhuda kutoka kwa Masanja mkandamizaji.Tamasha hilo litafanyika tarehe 11-12 Agosti 2012 katika viwanja vya Jangwani na daladala zote zimeruhusiwa kufika katika eneo.Leta familia yako!!wewe baba,mama,pamoja na watoto njooni wote katika tamasha hili la matumaini,bila kusahau kwamba kiingilio ni buree!!!!!
LOVE TANZANIA FESTIVAL

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here::