HASIRA HASARA

Siku mmoja Baba alimuuliza mwanae swali na maongezi yao yalikuwa hivi....
BABA:nikikupiga huwa hasira zako unamalizia wapi?
DOGO: Namalizia chooni
BABA: Huko chooni unamalizia vipi? 
DOGO:Huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako unaotumia kila siku!
Ehh! ungekuwa wewe ungefanyaje?

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...