Wakazi wa MBAGALA wanagombania usafiri wa basi kama kawaida yao, bibi1 alipanda bila shida akapata SITI alianza kulia sana,konda akamuuliza
"bibi unalia nini sasa" Bibi akajibu" miaka yote 35 niliyoishi mbagala cjawahi kupata siti leo ndio siku ya kwanza"ABIRIA Wakamwambia hiyo siti ni ya dereva bibi nyanyuka tuondoke!! Je? utamsaidiaje.
No comments:
Post a Comment
Comment here::