KIDI ANAMAJIBU.

Katika Daladala Kitoto cha Nursery kinaimba!
"Baba angekua Jogoo halafu Mama ni Kuku!
Mimi ningekua Kifaranga!

Watu wote Kimya!
Kikaendelea - Baba angekua Beberu halafu Mama ni Mbuzi!
Mimi ningekua Ndama!

Konda akaona kinamzingua! Akakiuliza je Baba yako angekua ni Mlevi
halafu Mama yako ni Malaya ungezaliwa nani?
Kile Kitoto kikamwambia Konda mimi ningekua Konda wa Daladala!

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...