Jamaa moja baada ya kutoka kijijini akadai alikuwa New york.
Siku moja wenzie kijiweni wakawa wanamuhoji kuhusu lile jengo refu kuliko yote duniani.
Jamaa: lile jengo nilipanda mpaka gorofa ya mwisho,cku hiyo alitokea mzee moja akawa anatembea huku anachechemea na bakora yake.
Washkaji: eehe ikawaje
Jamaa: aliteleza mazee kutokea gorofa ya mwisho hadi chini
washkaji: si alikufa!!?
Jamaa: asife vp siku tatu hewani bila kula
No comments:
Post a Comment
Comment here::