MCHINA
 Teja alimpiga mtama
mchina.Mchina alipoanguka chini teja
akampora simu yake.
Mchina akaamua kumkimbiza huyo
mwizi,mwizi alipoona mchina hachoki
akaweka simu chini na akaendelea
kukimbia.
Mchina akachukua simu yake na
kuendelea kumkimbiza.Teja akamuuliza
"Oya 'jet li' mbona nuksi hivyo!....simu
yako nimekupa unataka nini tena?"
Mchina akajibu "Bado sijakupiga
mtama!"

UNAJUA KIREFU CHA MOSHI
 Wachaga noma kwa hela!!!!
M-Mungu
O-Onyesha
S-Sehemu
H-Hela
I-Ilipo

BABA KENGE MTOTO KENGE

Baba: Unamjua Edward
Sokoine?
Mtoto: Hapana
Baba: Kenge wewe, zingatia
masomo yako!
Mtoto: Sawa baba. Na wewe unamjua John DungaDunga?
Baba: Simjui.
Mtoto: Kenge wewe, zingatia
ndoa yako!

 WANAWAKE WASIOELEWEKA


Twitter restaurant au!!!!!

FACEBOOK IPO HIVI

Dem aki update status:
>Niko town jamani,nani ataninunulia
lunch? (3 hours ago)
{1 like} {0 comments}
aki update:
>Lo! jamani nimemiss s*x! Kwani hakuna
wanaume hapa facebook?" (30
minutes ago)
{72 likes} {39 comments}

KINYOZI

Jamaa alichungulia kwa kinyozi akauliza, "Nataka kunyoa nirudi baada ya muda gani?" Kinyozi akajibu,"Niko bizi rudi baada ya masaa mawili". Baada ya wiki jamaa akarudi tena, akauliza swali lilelile kinyozi akajibu,. "Rudi baada ya nusu saa".Wiki ya tatu akarudi akauliza tena swali lake , kinyozi akamjibu, "Rudi baada ya saa moja". Safari hii kinyozi akamwita mtoto mmoja akamwambia, "Hebu mfuate yule jamaa ujue anaenda wapi". Baada ya muda mtoto akarudi akamwambia kinyozi, 'Yule jamaa kaenda nyumbani kwako' DUH! UNGEFANYA NINI?




NAMBA NGENI


Namba ngeni ilimpigia huyu demu then ika anza ku mwambia...NAMBA NGENI ; hallo! mrembo!...una boyfriend?!
GIRL ; yap ninae kwani we ni nani?! NAMBA NGENI ; mi ni baba yako kumbe una boyfriend eeehh!! nikirudi hom uta eleza sasa..baada ya dakika mbili cmu ika ita tena kwa yule dem
NAMBA NGENI ; hallo mambo!....una boyfrend?!
GIRL ; sina kwani ni nani?!
NAMBA NGENI ; haaaaa mi ni boy frend wako...ina maana umenisaliti?!
GIRL ; no no no baby sorry ni dhani ni baba yangu ndo maana nika sema hivyo
NAMBA NGENI; Mimi ni baba yako nilitaka tu kuhakikisha,kumbe kweli ! Utanikoma nikirudi.


No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...