Mwizi mmoja alikamatwa akiiba sufuria katika nyumba fulani.Alipokamatwa tu alianza kupiga kelele huku akiomba msamaha.kwakuwa wa2 walikuwa na hasira, basi walimpiga mpaka basi lakini alitokea jamaa mmoja ambaye ndiye mmiliki wa lile sufuria na kumwonea huruma ndipo alipomwombea msamaha lakini ilikuwa ni chini ya sharti moja.Baada ya kipigo kirefu yule mwizi alishukuru na kuropoka kukubali hilo sharti kabla hata halijasemwa kutokana kuogopa kupigwa tena. yule jamaa alimkamata yule mwizi na kumpa msawki ambao ndio ilikuwa adhabu yake kwa kupiga mswaki kwa mwaka mzima bila kuacha.Hahahahhhh!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here::