Najua sasa hivi unashangaa kwa nini nimeandika hivyo lakini ndio hiyo tena kazinikwako na si kazi ni kwakoo!!
Hii ikiwahusu zaidi makampuni ya simu,usiweke tu kivocha walishaanza kutuma vimeseji vyao ooh! umeingia kwenye droo mbona ukiingia kwenye kabati hawasemi!!!!

No comments:
Post a Comment
Comment here::