BINTI NA MSHUA

Binti huyu alirudi kijijini baada ya miaka 5.Soma kilichotokea yaani vibweka vitupu!!
BABA: We mwanaharamu umeondoka hapa kwa miaka mitano hukutaka kutuandikia barua wala kutuma salamu!!!,unajua ulimtesa sana mama yako?
BINTI: Baba niliona niwe kimya nilikuwa nafanya kazi ya
...... umalaya
BABA: Ayaaaaaaaa umeitia aibu kubwa familia yangu loh!,nitatembelea wapi mimi?
BINTI: Sawa baba, lakini nimemletea mama sanduku la nguo na kanga 20 na pesa, na hii hapa ni hati ya kiwanja nimemnunulia. Na wewe baba nimekununulia hilo gari nililokuja nalo na nimekufungulia akaunti, ina
pesa,... utaweza kulima vizuri na kujenga nyumba nyingine ya kisasa.
BABA: Ulisema ulikuwa unafanya kazi gani?
BINTI: Umalaya
BABA: Una...jua nili...sikia vibaya nilidhani umesema Uyaya,
pole na kazi mwanangu. Uuuwiiii navunjika mbavu!!!

Na gari yenyewe iliyoletwa ndio hiyo hapo chini


    

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...