Siku moja Yesu alipanda mlimani na wanafunzi wake,wakati wanaenda mlimani alimwambia
kila mwanafunzi abebe jiwe moja,ila Yuda msaliti ye alibeba jiwe dogo kama punje ya harage,walipoanza kuhisi njaa Yesu alibadilisha yale mawe kuwa mikate,kwahiyo Yuda akawa na mkate mdogo kama harage,kesho wakapanda tena mlimani,Yuda alibeba jiwe kubwa kwa tabu mpaka kileleni mwa mlima huku
ametokwa jasho,walipofika kileleni Yesu akasema leo kuna mikate hakuna haja ya mawe >:o
No comments:
Post a Comment
Comment here::