MHOGO UMEMKABA

Jamaa amekaa na mzungu kwenye banda la mihogo ya kukaanga wakiwa wanakula ghafla jamaa muhogo ukamkwama na maji anayo yule mzungu, weeee hapo sasa..!! Jamaa akaanza ''ZE.. ZEE.. CASAVA IZ STANDING AT ZEKOLOMEO WATER PULIZI!!! Mzungu akamuangalia kisha akamwambia; ''UTAKUFA MDOGO WANGU WE SEMA TUU UNATAKA MAJI, MI MSWAHILI WA SINZA MORI, NGOZI ISIKUZUZUE."

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...