
Kunguru ni ndege lakini habebi abiria.
Victoria ni ziwa lakini mtoto hanyonyi.
Kumbuka ndege haina side mirror.
Shati lililo toboka(chakaa) ndio dekio jipya
MIMACHO KAMA DENTI ALIYEKULA ADA!
Barabara ina matuta ila hawaoteshi viazi
Mchicha hauuzwi buchani
Daily News haliuzwi tandale kwa mtogole
Mkaa hauuzwi supermarket
Mwanamke hasingiziwi mimba!
Kumbuka hata chuo kikuu kuna vilaza,ndio maana kuna mtihani
Hata wazungu wana vivuli vyeusi
Kama hela hazina mizizi mbona benki zina matawi?
Baharini hatuogi na kopo.
Amezaliwa ocean road sababu mama yake ni mvivu angesogea kidogo tu, angezaliwa ikulu..
Treni haiingii sheli...
Hata aliyegundua Supra analala peku!
HAHAHAHAHA!!!
No comments:
Post a Comment
Comment here::