UCHIZI BWANA!!
Kibaka mmoja alingia nyumba flani na kuiba tv.Mara baada ya kuiba akaanza mbio uku kajitwisha tv, kumbe mule alipoiba kuna chizi bwana si likaanza kumfukuza yule kibaka,kibaka kila akikata kona yule chizi anae tu! wamekimbizana wee!.... sasa ikabidi kibaka asalimu amri akasimama,mara yule chizi huyu hapa mbele ya kibaka anamwambia eti ulikua umesahau remote
hii hapa chukua.... Dah! huyu bomu kweli!!

No comments:
Post a Comment
Comment here::