WAMAKONDE
Siku moja dereva alikuwa kawapakia wamakonde kama 35 kwenye lori
wakielekea kijiji fulani chenye shida kubwa ya usafiri.Mara lile lori
likiwa safarini likasimamishwa na polisi.Polisi wakamuuliza,"aroo dereva
umepakia nini huko nyuma?",dereva akajibu,"nimepakia magunia ya
korosho". Hapo ndipo mmakonde mmoja aliponyanyuka kwa jazba huku
aking'aka kwa hasira,"aaarggh,we dereva acha jarau,chichi chio magunia
bana,chichi ni watu bana,we mucha chimama polichi wakuone,na wewe icha
na machudi chimameni muonekane bana,nyinyi chio magunia,we hachani mbona
hunielewi,chimameni tuchuke chini polichi watuone".Wale wamakonde
wakashushwa wote chini,dereva akawahonga polisi sh.10000 halafu akarudi
zake mtwara mjini na kitita cha zaidi ya laki mbili.Wale wamakonde
wakaachwa wale jeuri yao,wakatembea kilometa zote 50 zilizobaki kwa
mguu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here::