Tajiri mmoja wa Kimarekani
alienda likizo kutalii mjini Rome,na alitamani sana kumwona Papa.
Alisimama katika mlolongomrefu wa watu akiwa na suti yake moja ya bei mbaya mno
akiamini kuwa Papa angelimwonakwa umaridadi wake wa mavazi na labda angechati nae kidogo.
Papa alipomkaribia, alimpitiakaribu kabisa lakini wala hakumtupia jicho kana kwambatajiri huyo hakuwa kitu chochotebali ni Mlingoti tu..Papa akasimama kwa kijanammoja masikini choka mbaya kwamavazi yake,kishaakamnong’oneza kitu halafuakaendelea na safari.Kitendo kile kilmuuma sana tajri yule. Baadae alimfuata Yule kijana masikini na akazinunuanguo zake kwa dola $1000 akiamini Papa angelimwona na kuzungumza naye kesho yake.Kesho yake Tajiri Yule aliposimam katika mlolongo kama kawaidaakiamini safari hii ni uhakika kuchat japo kidogo na Papa. Papa alipofika kwa Tajiri aliinama kwa upole kabisa na akamnong’oneza sikioni......."I thought I told you yesterday to get the f**k out of here."
No comments:
Post a Comment
Comment here::