Unataka matani.utasikia..............
Nyani ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..
Joji, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama ufa....
Mzee dongo demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO..
Pancha wewe unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe Tukutuku uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'Chesi mkaa!'..
Daftari wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi...
No comments:
Post a Comment
Comment here::