VIBWEKA

Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake akamposee msichana fulani. Baba yake akamwambia tafuta kwingine yule ni dada yako ila mama yako hajui usimwambie, Kijana akatafuta mwingine baba akamwambia na huyo ni dada yako ila mama yako hajui watatu tena hivyo hivyo kijana akamaindi kinoma akamwambia mama yake, mama yake akamwambia kaoe yoyote kati yao yeye huyo si baba yako ila ye hajui.Duh!!

No comments:

Post a Comment

Comment here::

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...