Mke mmoja aliyechoka na tabia ya Mume wake ya kupenda kuchat na
kuangalia internet kwenye simu yake alitoa kali ya mwaka. Mume huyo hakua na
muda wa kuzungumza na mkewe, kila mara yeye na simu yake tu. Ndipo Mkewe
alipomuuliza.
mke: Honey unayo emall?
mume: Ndio.
mke: Basi naomba address yake ili nikitaka kukuambia jambo nikutumie email.
No comments:
Post a Comment
Comment here::